Ninahisi Nina Tatizo, Kama si Tatizo Basi Pepo la Ngono

Halafu this is real mazee hii sio story ya kutunga, ebana mi nadhani nina tatizo haiwezekani nina girlfriend mzuri masikini niko nae kwa miaka zaidi ya mitano ila nacheat balaa, yaani nimetembea na kila aina hakuna mwanamke mzuri nimuone halafu nisimpate, halafu siohongi lakini sijawahi ambiwa no na mwanamke,

Sijui wanavutiwa na nini kwangu lakini kinachoniogopesha ni kuwa kila mwanamke nilokuwa nae huwa ananiambia kuhusu macho yangu kuwa amevutiwa nayo sasa mimi naogopa inawezekana nina pepo kwa nini hakuna msichana anayechomoka mikononi mwangu na kwa nini nacheat gf wangu lakini siwezi kumuacha na yeye ingawa anajua madhambi nayomfanyia lakini haniachi bado yuko na mimi tu.

Wadau naomba maombi yenu kuna jini au pepo yuko ndani yangu nini!? sipendi kuwa hivi lakini ndo niko hivi yaani nina mademu wengi sana na hao sio malaya ni watoto wenye kwao na watu wenye maisha yao katika kada tofauti tofauti

0 comments:

Banner1

Banner1