Kati Ya Mapenzi Ya Kweli na Fedha Kipi Kinanguvu zaidi?
Siku zinasonga na maisha yanabadilika,Unakumbuka miaka ya 90's jinsi mapenzi yalivyokuwa na nguvu?
Vipi leo,Bado mapenzi yanaile nguvu yake ya asili au fedha ndio mpango mkakati kwa sasa?
Kwa mitazamo yenu,Ipi nafasi ya fedha kwa sasa na ipi nafasi ya mapenzi.Kipi kinanguvu kati ya Hela na mapenzi?
Vinategemeana au havitegemeani?Na kama havitegemeani kipi chenye nguvu?
Mapenzi Vs Fedha..!
0 comments: