Hii Tabia ya Simu za Mabinti Kuharibika Mnapoanza Uhusiano Imekaaje?

Bandugu,

Imekuwa kama fashion siku hizi ukianza uhusiano na binti, ile mmebadilishana namba na kesho ndo first date, tarajia kuambiwa 'simu imeingia maji, imechukuliwa na mwenyewe' na upuuzi kama huo

Wanafanya hivyo ili akuingize king umtumie hela

Nime experience kwa mabinti kama watatu hasa under 25s! Sasa sijui kwanini hawaambiani kuwa hii trick imegundulika wabadili gia wanajichora sana...

Kevin

0 comments:

Banner1

Banner1