Ukitaka Kupata Msongo wa Mawazo Mpaka Uchanganyikiwe oa Hawa Wafuatao


1. Mama mwenye mtoto/watoto aliyeachika akiwa kwenye ndoa

2. Mwanamke aliyeachika ndani ya ndoa

3. Mwanamke yupo karibu mitandao yote ya kijamii, hakuna habari ya kimbea yeye anapitwa (Tena siku hizi WhatsApp wanawake hasa akina dada wana magroup, hadi migegedo ya saizi mbalimbali wanatumiana)

4. Mdada aliyeenda umri halafu anaishi gheto ( Hawa mara nyingi wamekubuhu, hadi wanaume wakwere wanawakwepa, wadada hawa hujifanya social, wana msururu wa marafiki wa kiume, mara nyingi hit and run kwao ni kawaida)

5. Mdada unayemtongoza siku moja, ya pili au ya tatu ukimwita kwako, anajileta. Kumbuka wewe sio wa kwanza kumtongoza, wewe labda ni wa hamsini.

Haya ni muoni ya Mdau Frank

0 comments:

Banner1

Banner1