MAPENZI BHASI- SEHEMU YA KWANZA
SEHEMU YA 1
MWANDISHI: JOH MAGODY
"Imma niletee simu yangu nimesahau form 2C" mwalimu Leah alimwambia kijana Imma anaependa kukaa mbele wengi wa kimwita 'prayer' hii ni kutokana na tabia yake ya kubadilisha wanawake na wanafunzi wa kike kama kalamu. Ima mwanafunzi wa kidato cha tatu mchepuo wa sayansi katika shule ya sekondari Taqwa jijini mwanza. Kijana mtanashati, nadhifu, msafi wa mwili na mavazi lakn kitabia alikuwa mbovu. Ima alitongoza au kujitongozesha kwa mwanamke yoyote anaemuona na kumtamani, alivutiwa zaidi na wanawake au mabinti wenye "wowoo" kubwa yani makalio makubwa.
"Madam Leah kuna kesi 4m 4A" Alipewa taarifa na mwanafunzi. Baada ya kufika 4m 4C madam Leah alikuta kuna mzozo baina ya wasichana wa makamu 2. Madam Leah ndo alikuwa mwalimu wa zamu wiki hiyo aliwaita ofisini kwake ilikujua tatizo ni nini. Aligundua ugomvi wao ni kwa sababu ya mapenzi yana walichangia bwana anaejulikana kwa jina la Imma. Madam Leah ama "Effector" kama wanafunzi wengi wanavyo muita hii ni kutokana na kufundisha soma la biology na kubalikiwa kuwa na wowooo hilo.
Aliwaadhibu mabinti hao na kuwaamuru warudi madarasani na kutupilia mbali kesi hiyo ambayo ingewafukuzisha shule mabinti hao pamoja na Imma. Hakuwa waacha hivyo kutokana na kuwa mstarabu au roho nzuri bali ni kutokana na Imma ambae alikuwa ni.........
Inaendelea........
Inaendelea........
0 comments: