SHEMEJI MONICA- SEHEMU YA KWANZA

 
 
 Related image
 
 
STORY: SHEMEJI MONICA
MTUNZI: Nira Saire


SEHEMU YA KWANZA

James alikuwa ndo kwanza amemaliza limu yake ya kidato cha sita, akiwa anangojea matokeo akaamua kutoka kwao kijijini na kutembelea mjini ili angalau aone dunia invyokwenda, pia aliamini mjini kuna fursa nyingi ambazo hazitamuacha akae bure kama ambavyo amekaa kijijini. Mjini alipokelewa vizuri na kaka yake (mtoto wa baba yake mkubwa), ambaye alikuwa ni mwalimu katika shule moja ya sekondari pale mjini. Kaka yeke huyu likuwa na mke mrembo sana na mtoto mmoja wa takribani miaka 12.

?sasa wacha nielekee kibaruani, nikirudi nitakutembeza uune mji mdogo wangu? Paul, kaka yake James alimuaga mdogo wake akaenda kazini na kumuacha James akibaki na shemeji yake tu maana hata Peter, mtoto wa Paul, alikuwa amekwenda shule tayari. Basi James akarudi chumbani na kuendelea kusoma kitabu chake ?think big? ambacho alikuwa akikirudia mara ya tatu sasa kwani hakikuisha utamu, pia hakuwa na kingine cha kusoma. ?James... James? ilisikika mlangoni sauti ambayo bila shaka ilikuwa ya Monica, shemeji yake James akiita huku akigonga mlango wa chumba alichokuwemo James. ?naam?, James akaitika huku akiacha haraka kufanya ambacho alikuwa akikifanya na kutii wito ule. ?naomba unisaidie kuingiza mkaa ndani? alielezea shemeji mtu mara baada ya James kufungua mlago, na James hakuwa na kipingamizi, akaelekea nje ambapo kulikuwa na gunia la mkaa ambalo inaonekana ndo lilikuwa limenunuliwa tu. ?sasa shemeji utaliweza kweli hili?? James aliuliza baada ya kuona kuwa gunia lile lilikuwa kubwa sana kwa shemeji yake kuachiwa upande mmoja wa kubeba pekeyake.. ?nitajitahidi, tutalifikisha tu? alijibu Monica na kazi ya kubeba ikaanza. Ilikuwa nikazi ngumu sana kwa Monica, aliweza kunyanyua kidogo tu na kila baada ya hatua tatu akalitua chini na kupumzika, wakati wakiingia ndani khanga ya Monicaidondoka, ndani alikuwa na kagauni cha kulalia ambacho kalikuwa kafupi sana,juu ya magoti, lakini Monica akapuuza kuikota Khanga ile na kuendelea na kazi waliyokuwa wakiifanya, kwa macho ya wizi James alikuwa akiyaangalia maumbile ya Monica ambayo kwakweli yalikuwa na nguvu ya kumtikisa mwanaume yeyote aliye rijali, kagauni kali kaliweza kuonesha ndani na James aliweza kuiona vizuri chupi nyeupe ambayo Monica aliiva siku hiyo, japo alijifanya kama haangalii. Wakaufikisha mkaa ule ambapo ulipaswa kuwekwa kisha James akaanza safari ya kurudi chumbani. ?unakaa sana ndani ya wewe mume wangu, mwisho uje ukute mke kaibiwa huku? alitania Monica na James akacheka na kujibu ?sasa kama sina cha kufanya si bora nijifiche ndani ili mke asijue kama mumewe hana kazi!!?, Monica akacheka kisha akamjibu' ?njoo ukae hapa uangalie movie bwana?, akamuwashia TV na kumuacha achague CD ambayo angependa kuiangalia, akamuweke kisha akaendelea na mambo yake mengine. Baada ya kama nusu saa Monica akamuijia James akiwa amependeza sana na kumuaga ?sasa shem mimi naenda Salon, kuwa na uhuru hapa ni kwako? alisema Monic,?kubadilisha hiyo ikiisha si unajua?? akauliza swali huku akiichukua Remote kutaka kumuonesha James namna ya kubadili CD kwenye deki ?siwezi kushindwa, uzuri wa vitu vya mzungu vinajieleza vyenyewe? James alijibu huku akipokea ile Remote na Monica akaondoka kimuacha James akitazama kwa uchu maumbile yake huko nyuma ambako kulikuwa na ?chura? ya maana ambayo ilikaa vizuri ndani ya ile suruali ya jeans ya kubana ambayo alikuwa amevaa Monica. James alijikuta kuanza kumtamani Monica ingawa alijitahidi kuzipuuza fikra hizo maana alikuwa akimuheshimu mno Paul ambaye alikuwa na upendo wa dhati kwake ingawa hawakuwa ndugu wa tumbo moja. Baada ya Monica kuondoka, James akaikumbuka CD yake ya ngono ambayo hakuwa hata amewahi kuiangalia toka ainunue akiwa kidato cha tano, maana kwao kijijini hakukuwa hata na umeme, hivyo alipokuja mjini akaibeba akitegemea kuiangalia kama atapata nafasi hiyo, sasa aliona kama ameipata nafasi tayari, hivyo akaenda chumbania na kuichukua ile CD na akafanikiwa kuiingiza ndani ya deki kisha akaanza kuiangalia kwa sauti ya chini sana. Baada ya dakika kama 10 tu toka aanze kuangalia umeme ukakatika, hapo ndipo James alipopata homa akijaibu kutumia kila njia kutaka kuitoa CD ile kwenye deki lakini jitiha zake ziligonga ukuta, ikambidi akae akisali umeme urudi haraka ili aweze kuitoa CD ile kabla wenyeji wake hawajarudi. Mpaka majira ya saa 8 mchana umeme ulikuwa bado haujarudi ambapo Paul alirudi kutoka kazini na kumtaka James watoke, James hakuwa na namna zaidi ya kutoka na kaka yake huku akiwa hajui nini kitatokea huko nyuma, safari hii dua yake ikabadilika kutoka kuomba umeme urudi na kuwa umeme usirudi.


Safari ya James na Paul ikawachukua mpaka kwenye kituo kimoja ambapo walikuta wanafunzi wengi wakifundishwa masomo mbalimbali. ?hii ni biashara yangu, hapa tunafundisha masomo yote kwa ngazi ya sekondari? alielezea Paul huku James akiitikia tu, akili yake ilikuwa imevurugwa na majanga aliyoyaacha nyumbani. ?wewe bwana si umesoma PCM, kuna uhaba wa walimu wa Physics hapa kama unaweza nikupe nafasi uwe unafundisha vijana wa o'level? Paul alishauri na James akakubali haraka maana alikuwa anapenda sana kazi ya ufundishaji na aliamini atafanya vizuri na kujitengenezea kipato. ?sawa, kama uko tayari tumebakiza hatua moja, inakubidi kupewa darasa tuone uwezo wako kabla ya kuamua kukupa kazi? alielezea Paul na James akakubali, kisha Paul akamchukua James mpaka kwenye ofisi ndogo ambapo walimkuta kijana wa rika moja tu na James,?vipi sir Mdharuba?? alisalimia Paul, ?poa brother, shikamoo? akajibu kijana yule na kisha kupewa maelezo kuhusu James akimtaka kumtafutia muda ambao atapata darasa kwaajili ya majaribio ?tuna kipindi cha Physics fom 3 leo saa 10 na nusu, nadhani angekitumia hiki? alielezea sir Mdhauba ambaye alikuwa ndio msimamizi wa shughuli za pale na wote wakakubaliana kukitumia kipindi hicho kwaajili ya James kujaribiwa uwezo wake, wakati huu ilikuwa ni kama saa 9 na robo, hivyo James akatka kujua atafundisha nini na akautumia muda huo kujiandaa. Saa 10 na nusu ilipofika James akaingia darasani na ?kupiga pindi? pindi huku Paul na Mdharuba wakimuangalia, baada ya kipindi wote wakaukubali uwezo wake na kumpa kazi ?tunalipa elefu 4 kwa kipindi, kwahiyo itategemea unapta vipindi vingapi kwa siku, sawa?? alielezea Paul na James akakubali bila kipingamizi, kisha wakaondoka. Safari yao ikaenda kukomea tena kwenye bar ambapo Paul aliagiza pombe akimtaka na James kuagiza lakini James alikataa kwani hakuwa mnywaji wa vilevi.

Baada ya Paul kulewa aakaanza kuonesha tabia za ajabu ambazo James hakuwahi kudhani kama kaka yake huyo anazo, akaanza kushika makalio ya wahudumu wa pale bar, na kuanza kupigia simu wanawake wake wa nje ambao alikuwanao,mwisho mmoja wao akaja na akaondokanaye huku akimchukulia James bodaboda na kumtaka atangulie nyumbani, akabaki nikijiuliza Paul anakosa nini kwa Monica mpaka anafanya mambo ya ajabu namna ile, yeye alimuona Monica kama mwanamke ambaye angekuwa wake angetulia mpaka mwisho, kwanini Paul anmafanyia hivi?? aliendelea kujiuliza.

Alipofika nyumbani James alikuta taa inawaka na hofu ikanitawala, maana iliashiia umeme kurudi, akaikaingia ndani na kumkuta shemeji yake akiwa amekaa sebuleni akiwasubiri.. ?mwenzio umemuacha wapi?? aliuza Monica, ?ameniambia kuna jambo anafuatilia bado mjini mimi nitangulie? alidanganya James, Monica akaonekana kutoamini maelezo yale ila akapuuza na kumkaibisha shemeji yake chakula huku yeye akirudi kukaa pale sebuleni na kuwasha TV, James akainuka kuelekea kwenye chakula huku akimuona shemeji yake akichukua remote ya deki, hapo akaona nguvu za miguu zikimuisha, ila akajikaza na kuendelea na safari ya kuelekea kula.

?Shem hii CD ni yako??? swali kutoka kwa Monica likapenya masikioni mwa James wakati akiendelea kula, moyo ukampasuka,kashindwa hata kutoa jibu.


Usikose sehemu ya pili
 

0 comments:

Banner1

Banner1