MANENO MATAMU YA MAPENZI YA KUMWAMBIA MSICHANA.


 547ee09a8bc36_-_romantic-young-couple-misc MANENO MATAMU  YA MAPENZI YA KUMWAMBIA  MSICHANA.


Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza  jinsi ya kutumia  maneno matamu

. Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa moyo wa mwanamke. Lakini maneno matamu  hufanya vitu vya kushangaza sana , humtoa nyoka pangoni.
Wakati wanaume wengine wanalalamika  ni jinsi gani ilivyo vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi sana , ni kwa sababu hawatumii  maneno sahihi. Watu wengi pia wanakosa maneno, wengine hata hawajui  wapi  pakuanzia  na wataanzaje,  ngoja tuanze na haya maneno yafuatayo, maneno matamu ya kumwambia  msichana.
1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa  la kufanya, lakini  yananifanya nipotelee kwako.
2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye  penzi letu.
3.Unaonekana mzuri kama malaika,  nahisi nikikushika nitakuchafua.
4.Napatwa na woga ndani ya tumbo langu , natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu.
5.Umefanya ndoto zangu ziwe za kweli.
6.Sijawahi kukutana mtu mzuri na mwenye kujali kama wewe.
7 Nakupenda sana, kiasi kwamba siwezi kujielezea hata kama nikijaribu.
8 Wewe ni msichana mzuri  ambae  kamwe  sikuwahi kukutana nae.
  1. Unafanya  huzuni zangu kupotea  kwa tabasamu lako zuri.
  2. Hapana, wewe sio mnene, uko poa na ndivyo nipendavyo.
11.Ungeweza kupata mwanaume yeyote ulimwenguni na bado umenichagua mimi.
12.Unanipa maana ya maisha yangu.
13.Sitaki kufikiria maisha yangu bila wewe katika hili.
14.Unakuaje mzuri muda wote?
15.Unanifanya nijione mwenye bahati ninapokuwa na wewe.
16.Magoti yangu huishiwa nguvu kila nikugusapo.
17.Wewe ni rafiki yangu wa kweli,  najifunza kwako, na ni mtu ambae najua nitakuwa nawe, ni mpenzi wa maisha yangu, niwewe tu nilienae. Ni kila kitu kwangu.
18.Siwezi kuamini kama mtu mwema kama wewe usingeweza kuwa na mimi.
19.Sijui kama unaelewa kiasi gani ninavyokupenda.
20.Natamani niwe na wewe maisha yote, lakini  muda hautoshi wa kukupenda vya kutosheleza.
MAMBO MATAMU YA KUSEMA KWA MSICHANA.
i-did-not-choose-you MANENO MATAMU  YA MAPENZI YA KUMWAMBIA  MSICHANA.
21.Ningeweza kukushikilia forever.
22.Unanifanya niamini katika soul mates.
23.Siachi kukuwaza kila wakati.
24.Sifahamu nikitu gani nilifanya  kukubalika kwako.
25.Usiku nilikuwa naaangalia kila nyota nikiweka pamoja  na kufananisha  kila moja na sababu  ya kwa nini nakupenda, nilifanya vizuri sana .
26.Kukutana na wewe ni kitu kizuri sana ambacho hakikuwahi kutokea.
27.Hupotea kabisa unapoonyesha mapenzi kwangu.
28.Nakufikiria na kubusu mto wangu kila ninapoenda kulala kabla ya kupitiwa na usingizi.
29.Hata nikiwa na wewe muda wote, nitakuwa naona kama sikupi mapenzi ya kutosha.
30.Napenda unavyonukia.
31.Unanifanya niwe na furaha unapkuwa karibu yangu, taya zangu huumia.
32.Kutumia muda mwing nawewe ni furaha yangu.
33.Napenda kushika ngozi yako laini.
34.Nataka kutumia maisha yangu yote  kukufurahisha wewe tu.
35.Usibadilike kamwe, kwa sababu nakupenda jinsi ulivyo.
MAMBO MATAMU YA UKWELI  KUMWAMBIA MSICHANA.
Love-Quotes-for-Husband-300x200 MANENO MATAMU  YA MAPENZI YA KUMWAMBIA  MSICHANA.
36.Unanifanya niwe kama mtoto mwenye furaha ninapokuwa na wewe.
37.Ninaumia sana nikiona unahuzunika.
38.Napenda nywele zako.
39.Napenda jinsi unavyojisikia  kila nikikukumbatia  , wakati nakuaga.
40.Napenda nikubusu kila sehemu ya mwili wako.
41.Nimeanza siku na wewe ndani ya akili yangu, na namaliza siku na wewe ndani ya ndoto zangu.
42.Nakupenda sana ningeweza kukuabudu.
43.Huwa natamani kusimamisha muda usisogee ninapokuwa na wewe, lakini huo muda hutafuta njia ya  kurukia.
44.Natamani ningekuwa nimekutana nawe siku nyingi.
45.Kusikia sauti yako asubuhi siku yangu huwa njema.
MANENO MATAMU YA KUSEMA KWA MSICHANA.
happycouple-1024x824 MANENO MATAMU  YA MAPENZI YA KUMWAMBIA  MSICHANA.
46.Tabasamu lako zuri linanifanya niyeyuke.
  1. Jinsi unavyuotizama wakati nasema kwa heri,  napata ugumu wa kukuacha uende.
48.Ni mchezaji mzuri wewe.
49.Unanielewa mimi vizuri, ni kama unasoma akili yangu.
50.Sitasubiri kutumia maisha yangu yote kwako.
51.Najisikia vizuri sana kutumia muda wangu na wewe,
52.Wewe ni rafiki yangu wa ukweli.
53.Mara zote unafahamu jinsi ya kunishangaza.
54.Wewe ni sababu ya maisha yangu kuonekana bomba.
55.Unaonekana mrembo unapochek

0 comments:

Banner1

Banner1